Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2020

UONGO UNAOSAMBAA KUHUSU KORONA

  Maradhi haya ni hatari  na ni janga la ulimwengu kwa sasa na zimesambaa sana hapa nchini juu ya maradhi haya ya Corona. Huu ndio ukweli 1:-Corona Ni virusi vinavyosababisha ugonjwa uitwao COVID-19.   >>Virusi hivi humpata yeyote nipende kuondoa dhana ya kuwa ukiwa mtu mweusi haupati huo ni UONGO 2:-COVID-19 Husambaaje au huambukizwaje?? Tumedanganyana sana juu ya ugonjwa huu unavyosambaa tena makutishiana zaidi Eti ugonjwa huu Husambaaje kwa njia ya hewa ndo maana wanavaa mask au eti ukigusana na mtu mwenye Corona ndo utapata ndo maaa wanavaa gloves >>> Ukweli ndio huu hapa ugonjwa huu unaambukizwa au kusambaa pale mate,makasi au makohozi  ya mtu mwenye maambukizi virusi hivyo yanapogusa uso was mtu asiye na maambukizi na hapo mtu ataambukuzwa >>Sababu ya kuvaa mask Ni ili kuzuia zili chembe za mate au makohozi zisiguse maeneo ya uso wako.      MAKALA HII ITAENDELEA