CHAPTER ONE Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 15 dereva bodaboda akiwa nyumbani kwake huku akitazama luninga yenye kipindi akipendacho alishtuka baada ya simu yake kuita. "nani tena huyu? alijiuliza huku akienda kuipokea simu "haloo David unaweza kuja kunichukua na bodaboda hapa moshi mjini?" aliuliza yule mtu alliye piga simu "mh!! mbona saizi na pia ratiba yangu hairuhusu" alisema David huku akitaka kukata simu "bro kwani shida ni nini wewe si unataka pesa?" aliuliza yule mpiga simu "hatakama nina sheria zangu" alisema David "David eh!! nisaidie kewapeleka mimi nimepata mchongo ndo nafanya na h...
Get things you don't know and if you know to know more about Life, science, sports. Find story from me as well as downloading song and clips