Skip to main content

UONGO UNAOSAMBAA KUHUSU KORONA

 

Maradhi haya ni hatari  na ni janga la ulimwengu kwa sasa na zimesambaa sana hapa nchini juu ya maradhi haya ya Corona.
Huu ndio ukweli

1:-Corona Ni virusi vinavyosababisha ugonjwa uitwao COVID-19.
  >>Virusi hivi humpata yeyote nipende kuondoa dhana ya kuwa ukiwa mtu mweusi haupati huo ni UONGO
2:-COVID-19 Husambaaje au huambukizwaje??
Tumedanganyana sana juu ya ugonjwa huu unavyosambaa tena makutishiana zaidi
Eti ugonjwa huu Husambaaje kwa njia ya hewa ndo maana wanavaa mask au eti ukigusana na mtu mwenye Corona ndo utapata ndo maaa wanavaa gloves
>>> Ukweli ndio huu hapa ugonjwa huu unaambukizwa au kusambaa pale mate,makasi au makohozi  ya mtu mwenye maambukizi virusi hivyo yanapogusa uso was mtu asiye na maambukizi na hapo mtu ataambukuzwa
>>Sababu ya kuvaa mask Ni ili kuzuia zili chembe za mate au makohozi zisiguse maeneo ya uso wako.

     MAKALA HII ITAENDELEA

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

The dreamer

           I wake up as usual, except today I woke up early as but the house was not our house so where am I ask myself but I've no answer I start to call if there's someone " hello there someone here hello" no one to answer me but I start to feel a little like something is little bit off and the house looks old. What is this please I ask myself after few steps I reach the dinning room and I walking through the door I was shocked to see a huge forest in front of me "what the....?" I asked myself but it wasn't only front tho I mean the house is in the middle of the forest. When my mind start to figure it out how and why am in this place an old woman approach me without me noticing.       " Kid are u lost" she asked     "Yes Grandma I don't know why I am here and who brought me here" I answered    " You can sleep here my son and tommorow you will continue with you journey"she said     "Tommorow!!!?"I aske...

THE UNKNOWN

  Chapter two     Previous on ep one Police arrived at the place where they were instructed and saw a terrifying scene of murder. And they receive a mysteriously phone and get a dedication to Matindigani….. Continue:         Few minutes later in Matindigani    " Oh Jesus Christ!!" One of the police said   " Damn is this a human being oh God!!?" Said detective Patrick   " Mh!! This man is a definition of evil" inspector Jack said   " Ok this is the same killer who kill those previous victims" detective said     " Ok so what we gonna do because it so hard to know?" One police said     "Let's gather evidence first and take time to think about it" insp ector Jack said    " Ok as you say sir" detective Patrick said but before they leave the place detective get a phone call.      " Hello detective how was your day so far...