CHAPTER TWO. Miaka kumi baada ya tukio. Kijana mmoja anashuka kwenye ndege kwenye uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere huku akivaa nguo nzuri za gharama na kupokelewa na mwanaume mwingine aliyekuwa anamsubiri. "habari yako bosi pole kwa safari" alisema yule mtu aliyekuwa anamsubiria "salama James za siku nyingi?" aliuliza yule bosi kwa sauti yake ya kukwaruzakwaruza kama mtu aliyekabwa hali hiyo ilimuuma ila hakuwa na jinsi na ameshaanza kuzoea "salama mkuu" alisema James "Twende zetu home tutajua la kufanya"alisema bossi "sawa bosi"alisema huku akitaka kuchukua mizigo ila alikuta bossi kashaichukua na kuiweka kwenye buti ya gari "sasa bosi si uache nikusaidie" alisema James "unisaidie..... KWANI UMESIKIA MIMI NI MLEMAVU?" aliuliza bossi kwa jazba "hapana mkuu"alijibu Jamesi kwa hofu "Dah!! saamahani bhana alisema bossi huku akiachia ule mzigo ...
Get things you don't know and if you know to know more about Life, science, sports. Find story from me as well as downloading song and clips